Nasikia hiyo tender ya cabro kwa state house ni yeye alifanya. mwenyewe anaendesha LX570, bibi Jeep Wrangler
Hata ati ile cabro yote iko CBD ni yeye. watu wanaghula kughula
Huyu Ni yule jamaa wa young African and Rich the series
Bado akajenga nyumba basic… masters muhimu
ungekuwa na masters hungecommit this logical fallacy
Bibi anakaa chokosh wa kahawa west
Bibi anakaa mwendawazimu
Nilisema juzi no amount of money can buy class.
It is only a fool without a degree who will celebrate mwizi wa mali ya umaa.
Kwa laha zao
Hio jina Titus hunichekesha…yaani unaitwa Tight Ass na unaitika tuu
Talkers mko na wivu , remember hio class mnapayuka hapa won’t save you from death . Na ukienda umeenda whether you had class or not. Wacheni wivu maumbwa nyinyi I respect money than degree or masters or even class. Pesa itakutoa kwa shida degree haiwezi kutoa .
Wacheni wivu maumbwa nyinyi everyone should strive to earn money instead of abusing those enjoying their loot pole pole
wacheni wivu majamaa that woman is dinyable
Degree muhimu .Working on my second
Hio mali iko sawa kabisa… huyu jamaa akicheza atasalimiana na mkubwa…
The wife is busy flaunting their wealth on tiktok
https://www.tiktok.com/@florahthurahjj
she’s hot
The wife is busy flaunting their wealth on tiktok
Florah Thurah (@florahthurahjj) | TikTok
she’s is hot though
Maybe its just me but kuweka jina yako kwa number plate inaonyesha ushamba kiasi na niflex ya ujinga sana. Ni kama kuweka your picture as your wallpaper kwa simu. True class ni ile ya triple matching digits like 777.
washwash mkamba mjinga illiterate , ni mwizi na ana flaunt . akisha bambwa na sirikali in the next few years atakuja kutulilia tumchangie
I Agree