kuna wanyama we hate in the house and when we see is either bash its head or kanyaga examples mende , spider , nzi , moskuito na kama huko kwa kina @vuja de nyoka , panya . but we have also the house defacto 'pets ’ zenye ukiona unalenga tu since tangu ukue mtoi haunanga shida nayo the most notorius ni ile lizard ya white yenye hu smile ikikuona . sijui kama ni mimi tu but tangu nikuwe mtoi sijawai kuwa na war na hako ka lizard , then kuna ile lizard ingine ya green (am colour blind ) inakuwanga nje ya nyumba kwa wall pia hainanga grudge na mtu , then kuna OCHUNGLO ile ndogo kapsaa .
hehehe Quadrey but chura sipendangi shida ni kuuwa ni very disgusting so ni kuifukuza ichukue lane yake , grasshoper na obongobongo pia unawacha zipige raundi polepole
porcupine hupatikana wapi watu huona tu evidence that I was here (mishale).
halafu how do those animals mate without hurting each other? hapa ndio ujinga imenifikisha