Funga hiyo mapengo.
Saitan.
Gari ni mileage (reliability ) and not the engine size /configuration.
Isuzu TX ni almost 40 years and it still manages kwenda Kwa mto kuchukua sand.
where do I fall Mr. Genius?
Ni kama venye watu husema NZE…Hakuna gari ka hiyo
Ujinga wako. Do you know something known as colloquialism? Colloquially, V8=Toyota Land cruiser in Kenya at least. It might be an engine configuration, yes, but to the natives of Kenya, it is, colloquially, a popular car brand that announces umefika. Same way tunasemanga miguu ya gari ama kifuniko ya asali.
Ngony guok, apana tambua clolochieth yako. If the language owners decided ni hivyo then ni hivyo, we will not dumb down our children in the name of colloquolchieth
Hata ile Cayenne yako ni gari macho nyanya in some areas of Kenya. Hujawahi sikia mtu akisema gari imegongwa kwa matako na ukaelewa?
:D:D:D:D:D:D V8 ni engine, hata Cayenne iko na na V8 engine na siiiti V8
Ng’ombe!!! V8=Toyota Land cruiser, TX=Prado, Kanyoka=Premio old model, NZE=Toyota Corolla E120/E130, Nissan= Any passenger carrying van. Comprehende?
cayenne ni V6,deorro ghasia hii…meffi ,guok
v6 Variant ni ya peasants kama wewe[ATTACH=full]237422[/ATTACH]
swafi sana omwamiiii…YOM?