Dear men, please keep your wives far away from your businesses

Kuna certain jamaa who recently was a mogul in the transport sector. His late father was a veteran in the trade and also one of the pioneers in my home area. So as genes dictate the guy who is the first son inherited the skills and resources from his dad and has been doing well in the matatu business. Juzi he allowed his wife to meddle in his business. Wife akaingia bank akachukua hefty loans against the vehicle. Jamaa SAA hii Hana kitu. Gari imechotwa na bank na still they are chasing him around. Stress tupu. Please keep your wives far away from your businesses. If you cannot open a separate business venture for your wife wacha akae nyumbani afanye cleaning akimaliza atizame Nigerian movies kama bibi ya @Azor Ahai

:D:Dboundaries muhimu…wekea yeye card na limits… keep your accounts hidden

Some beta males allow emotions to control them. ATI siwezi zuia bae kuaccess my resources. Kuna jamaa mwingine pia najua huwa ako na timber yard. Aliachia bibi kuendesha biashara. Bibi alikuwa anauza mbao kisha anatumia her parents and siblings pesa yote. Business iliisha hivyo but juzi alichukua loan akarudisha stock

Deep down, this is every woman’s dream hata hawa wenye mnaona huku corporate. Akaeza pata mume anampea pocket money inatoshana na hio mshahara stori ya career na ‘dreams’ imeishia hapo.

Kwani huyu transport ‘mogul’ alikua na gari moja?

wife anakopa pesa ya kupeleka wapi?

True. Every woman’s dream is to have a high-earning husband so that she can work PART-TIME akimaliza shughuli za watoto.

Anaamka mapema anafanya housework. Watoto wakienda shule anapumzika halafu anatokea job yake akijiskia.

:Daccording to byatuka

Uyo ni peasant sio mogul. Gari moja ni nini?

Hehe. [SIZE=1]Maliza. Finish priss![/SIZE]

Boundaries muhimu. Kuna pesa yako, pesa yake, na pesa yenyu. Na msifanye biashara pamoja.

Mwanamke na pesa hawawezi lala nyumba moja na hawatawasikizana. Huwa ni moja atoke aende kabisa na mmoja abaki. Pesa ndio hutoka, usipochunga utasota mbaya.

No he maintained one minibus in good condition and a lorry for transport

Nobody knew where

Hehe, unapata amejinunulia shamba na akajenga. Kuna mujamaa alishangaa sana kupata bibi yake ameshika gari iko mombasani na kuna mtu ameendea, yani hakujua.

Men should know this “usioe bibi hakuhitaji” na hakunanga kitu kama “tunasaidiana”.

True story. Women only behave when you have some type of leverage over them. Usually, money and bitchez. She has to know that she can’t afford her current lifestyle without you, and you can replace her ukitaka. She should never be too comfortable.

Your wife should always be treated as a potential criminal/enemy. That’s the only way a marriage can survive for long. This carelessness by men is their greatest undoing

[SIZE=4]“Criminal” or “enemy”—those are big words. Simply put, never trust anyone. Play your role as a man or husband, knowing that she’s human and can mess up your life anytime. In fact, I no longer advocate for marriage because of what I’ve seen happening to people out there. Both men and women wamekuwa wanyama saidi. Umalaya, kurushana kama hio kesi yako hapo juu. Yani people are getting married kutoroka shida zao…
Mdem ataolewa apate pa kuishi [hobosexual], mujamaa ataoa apate mfanyikazi kejani na kadhalika…[/SIZE]

[SIZE=4]Sahi si time ya kuoana, nika iliisha na kina sisi [plentesen team] :D:D[/SIZE]

Tufunge leso

[ATTACH=full]500446[/ATTACH]no malaya,no alcohol …just living a simple life.
Niliacha shule kutafuta doh so siwezi jaribu mess nazo.