Dear customer, your number is not authorized to use this service

Nadai ujanja ya ku overcome hii upus… Only a few understand what’s this about… Any help!

Lipa okoa jahazi yako.

2 Likes

Ni Airtel… Si Saf

Snitch detected#airtel employee

rudi uambie boss wako umeshindwa

1 Like

Upusss

2 Likes

Nunua number ingine

Thanx @nairobilay

dame wa mjengo,umepotea

1 Like

your number is not authorized to use that service

probably the service provider amekublock from that service

Permanent or temporary?

confirm na ^jamo au ^caro

2 Likes

You need to register ua No. if u aint the “Kamitis”

enda huduma center

1 Like

Few understand this language

ukinunua namba nyingine 544 itakataa kufunction, unless @highschooler ukuje na feedback

mimi i load enough bundles to sustain me, 10gb+ per week

hio trick inatumikaje? mi nimetulia na 3gb zangu nikizitumi

how do you do that? mi nimetulia na 3gb zangu…nikitop up zaidi wananishoo not authorised for this service

Ibrahim uliwai solution?

bado, nimeshindwa kuelewa