Wababa wengine huwa tu jokers. Mzee anaponda raha na hawara wake pesa Ina muishia anajaribu jurudi home lakini wapi.
In one of my dad’s rentals pale Dandora phase two, Kuna muzee alifukuzanga bibi na watoto vile pesa ya penshen iliingia. Alikuwa mwalimu wa high school. Mzee akajishindia kidosho mwenye rangi ya dhahabu wakakula raha vile inafaa. Kamzee kalionyeshwa the meaning of love and affection hadi akamfungulia biashara na ika grow sawa sawa.
After sometime murembo akawachana na huyo mzee. Nilikuwa naona kamzee kameboeka sana hakana form, kalikuwa my neighbour kwa hio floor. Kalisota kakaenda ushago. Mrembo alipanau hio biashara yake na sahi anaendelea poa.
Lesson kwa wazee. Raha haishi. Hata ujingime twenty years and enjoy for one year still hakuna tofauti…nyote mmekula raha na yule alijinyima.
It’s very tempting ata prodigal son yalimpata
Kamzee kalikuwa kamenuna saa zote.