DE BRUYNE VS GASPAR

KAMA MULIWATCH GAME JANA KUNA MABAO ZILIFUNGWA OUT OF THIS WORLD, BTN THE DE BRUYNE AND GASPAR GOAL GANI KALI , MIMI NAONA YA DE BRUYNE ILIKUWA JUU MBAYA , WENGER ALIFUNZA FABREGAS KUTOA ASSISTS ZA PESA

https://www.youtube.com/watch?v=vQj0EmbsY7k

https://www.youtube.com/watch?v=rc_pJGkms6k

Ya Gaspar ni kali io ya De Bruyne ni bao kawaida sana

hio bao ya gaspar ni moto sana

Hio bao ya de bruyne hata haifai kuwa hapo

BOSS ATI KAWAIDA, HEBU WEKA VIDEO YA BAO KAMA YA DE BRUYNE HAPA , HIO BAO YA GASPAR HUWA TUNAONA DAILY KWA EPL .

Rooney alijaribu kama ya De Bruyne jana, lakini aligonga crossbar. (watch from 10:54 mins)

https://www.youtube.com/watch?v=90PcyAJ_AuE

HEHEHEH NOMAA

Bao ya Gaspar iko juu. Kuna ingine amr Zaki alifunga kwa EPL a couple of seasons ago ilikuwa noma sana. Lakini Ronaldinho Gaucho was the king of wonder goals.

La GASPAR liko kwenye ligi yake ya kipekee.