Daykio Bustani

Sio kwa ubaya but kama unaishi huko usiniitie kanyama tena…
Security check kwa gate ni kali kuliko za pale state house.Hadi makende inapimwa kilo ukiingia na ukitoka.
Kilo ikishuka wanauliza umetoka kutomba bwana au bibi ya nani…

Imezidi.Lakini atleast mende zilikuwa kwa boot ya msedes yangu KYC…zimetimuliwa

Wewe unakaa suspect! Unaenda kutafuta nini kwa makaburu na hauna car pass?

Sasa nipewe pass ya kuja kutembelea rafiki…huyo mluyha hajanipeleka poa

Huko kuingia nirahisi wewe ongea na mafundi wa mkono useme unatafuta kazi. Jua jina ya mwenye nyumba. Fika Kwa gate sema wewe ni fundi na unaenda Kwa nyumba ya Mr Maina for example. Utaingia huko kisniper bila effidense

We were taught in tradecraft to disarm before the battle starts. Dawa ya watchmen ni kujifanya kunyenyekea mbele yao. Be extra polite even though they are meffi. It gets them all the time. Unamwita mkubwa, soldier, munene etc. Ukitoka unamwachia 50. Next time hio gate inafunguliwa hata bila kukagua anything. Hivyo ndivyo hata wezi huwachenga. Extra polite mpaka the fellow akipewa chakula iko na mchele anachukua na kupiga salute.
Hapo hata wenyewe utawasikia wakisema huyu mzito hana maringo kama watu wengine. That disarms them such that your next meeting you emerge tops.