Wakubwa Asalam aleikum Niko Na burning issue sisi wote ni mandume Na kuna wenye walibarikiwa Na ndevu.lakini kuna watu ka Mimi tumeishi kutafta ii kitu.Anyway wadau nisaidieni kupata dawa ya ii kitu kama ni possible
All comments will be taken responsively ata ka ni ya umeffi so feel free
Same situation. Am 30 plus years old. But look like a 24year old. What is the best way for growing beard?
[SIZE=1]never had a moustache or hair on my cheeks[/SIZE]