Dawa ya ndevu

Wakubwa Asalam aleikum Niko Na burning issue sisi wote ni mandume Na kuna wenye walibarikiwa Na ndevu.lakini kuna watu ka Mimi tumeishi kutafta ii kitu.Anyway wadau nisaidieni kupata dawa ya ii kitu kama ni possible

All comments will be taken responsively ata ka ni ya umeffi so feel free

How old are you? Mea fudhi kwanza before addressing elders

Same situation. Am 30 plus years old. But look like a 24year old. What is the best way for growing beard?
[SIZE=1]never had a moustache or hair on my cheeks[/SIZE]

tafuta Jamaican black castor oil (i think thats the right name) kuna thread tafuta

Wanaumme wenzako wanafikiria kupata posche cayenne wewe watafta ndevu !!

Wewe ni mbuzi ?

ndevu nanyoa siku moja haiishi kama hazijarudi na fujo . kama si job ningekuwa na kama rick ross . but kunywa testosterone zitakuom

Wewe hujalala?? Are you nocturnal?

Wacha nikupatie no. Za LeBron James / Dj Khaled / Harun mwau akupe secret. Is it ok with you?

hehhehe my deer namumunya kinywaji polepole wewe wafanya nini ?

Labda anawatch NBA

Was praying. Ndo narudi kwa bed :slight_smile:

Hope umeombea wanakijiji

Kila mtu abebe mzigo wake… :D:D

Mtafute Getafix…
TML!

Ama aende SA akampatie Semenya CJ…

What you can’t change, you embrace… Utakunywa testosterone ujue haujui…

Niona hii kijiji iko na male versons of semenya…dunia ina mambo

Are suggesting akuwe anakunywa semens

:D:D:D:D:D:D:D:D atamea mkia kwa mgongo akuje kulia hapa tena tumwambie ameze oestrogen ameee kuma .

Wacha akunywe zitokee all over the body akae kama baboon juu yeye ni nugu.