dawa ya mende

After moving into a new house I realized it’s a good house but has cockroaches i spread 10 g in the kitchen following day 22 dead.dumped them in the makeshift dusbin[ATTACH=full]294672[/ATTACH][ATTACH=full]294671[/ATTACH]

Ikiwa hujamaliza mende kwa JIRANI … umefanya kazi ya bure!

Cockroach Murderer!

Umeanguka mtihani. Kuna mayai zimetagwa na zita hatch later, na kama kwa jirani ziko zitakwom tu.
Nunua packs zingine kama tatu. Moja spread kwa newspaper weka chini ya couch. Ingine spread kitchen chini ya sink. Ya mwisho nyunyiza nyuma ya kitchen cabinets. Kama zilikua hadi bedroom, tandika gazeti kwa wardrobe na unyunyize ingine hapo.

Kuna harufu inakuanga kwa hiyo dawa, ndio hu attract mende zije zikule. So as long as umeziwekea dish hapo, zile mgeni zikikwom zina dish zina die, zenye zita hatch hivyo hivyo. But ukipanguza hiyo dawa juu mende kadhaa zime die, ngojea day kiasi uone zingine zikipiga lap huko.