[ATTACH=full]29476[/ATTACH]
Breakfast yangu ya kutoa hangy haiwezi kosa german sausages…inaitwanga wurst na kuterumusha ni passion juice
Hizo sausage za Geru mambo mbaya!.. napenda sana… mimi huzinunua Lidl ama Aldi.
haiya pia LIDL and ALDi ziko UK. unajua ALDI ilianzwa na two brothers
Ziko kibao mpaka Ireland. Kwanza LIDL ni kila kona UK.
forrowing for @Wakanyama
No wonder those two german brothers ni billionaires…ata huku its the same…kila corner ziko na wako cheap mbaya
HEHEHEHE…
Sifikirii @Wakanyama anachinja ngurwe. Yeye muulize supu na mutura…na labda Matharigo!..kkkkkkk…
sisi tunajua firifiri na thubu ya kishwa
My cure for a hangover is a little different
[ATTACH=full]29480[/ATTACH]
Hehehehe the brown guy with the air strip is the (The_Virus)
Very Nice.
Wish i was there…
(standing behind the Momo in Black) …kikikikii…
Ha ha hio photo nimetoa kwa net just to illustrate what I was trying to say
[ATTACH=full]29481[/ATTACH]
Lots and lots of cancer elements in that mixture. I will stick to my bone soup na firifiri
HOW MANY TIMES AM I GONNA SAY THAT FOR A FULL-GROWN ADULT MALE AFRICAN TO POST…@GURU please finish this for me.
Am getting depressed.
Kabuda fits that description?
Guy is a henpecked sissy.
Dawa ya moto ni moto, enda toa lock.
me nakula githeri Na cabbage,alafu nikatoe lock…ara
nilicheki ALDI minnesota but sio kubwa vile