David ndii vs Babu owino

Sweep ya mwaka

[ATTACH=full]322558[/ATTACH]

:smiley:

Maliza hio wash wash goon. Watu wa utawala wamesema hii kijana 2020 ina rudishwa rûgûrû iendee ikatairiwe ndio ipate akili.

Support base yake kubwa ni watu wa Soweto na Tassia. Hizo slums zona watu wengi, I hope watatumia akili 2022

Sasa temperance ni nini?
Wacha ni guguuu

The guy who used to come last in my primary school class, back in the 90s was the first guy from that class to get a PhD…

Thinking that amassing degrees is a validation of intelligence ni ujinga mtupu…

The guy who has the highest IQ in recorded history was a black farmer somewhere in the Midwest… he didn’t amount to much himself anyways…

Some of these things and contests never amount to much… Beyond dick measuring contests…

hata kama mimi ni ndume aje siwes tweet juu ya Uhunye hivo , jamaa anaweza soma tweet akiwa juu ya Konyagi ambie Ndegwa Muhoro atume ile squad yake ya kuangusha watu, ulie ukiwa mbinguni. yaani jamaa wameangusha kina Musando, Juma, Ouko, Pinto, Saitoti na hakuna kitu imewai fanyika je wewe pisant.

Kwani unaogopa kifo aje?.. Si ukikufa itakuwa umepata chance ya kurudi ubomoe yeye kabat, usiku akiwa juu ya konyagi… kila wakati Hadi achizi… :D:D:D:D yeye na vibaraka wote ametuma kukumalisa… Kwanza vile wewe unapenda tranny… ango…

Yaani jamaa inaambiwa inajua kusoma but hajui kutumia hakiri

In this case, self-control.

[SIZE=5]noun[/SIZE]
moderation or self-restraint in action, statement, etc.; self-control.
habitual moderation in the indulgence of a natural appetite or passion, especially in the use of alcoholic liquors.
total abstinence from alcoholic liquors.

When a guy says that i am more intelligent, sijui my iq is this and that or i have this many degrees, just ignore him. Thats a person with mega issues