Daughters of zion

Apart from the above noted,which other forums can you loose your wife to?

Kilimani mums

ktalk

naaah…hapa labda uwe omeoa single mother na uwe na moyo mwepesi ndio unaeza muacha na day one

Kanyari 310

Very many, women are easily swayed unfortunately.

JTM Fire

sadly

:D:D:D

Manyuru amepoteza wengi sana.

once i heard akiambia a naive lady ati she would be a millionaire but her friend ndiye “aliiba nyota yako ya utajiri”…

Akina ‘brayo’ na kina ‘kevo’ ambao wanaitwa bff.

Unless if you are not married, how can you be so certain that your wife is nor trailing all your posts and comments here at klist?:eek:

Kwa pasta Awuor … Mbaiya. Sana kwanza anakwabia hakuna kufuck God atarudi awakutilie

That church is usually packed to the brim daily from Monday to Friday. Kwani hao watu hawana kazi

believe me if your spouse is a talker hapa utajua…one of the ktalk lexicon will eventually slip out…utaskia “baba nani leo threshhold umefikisha”…“na ukienda mall unakawaianga,au nikusafisha macho kidogo?”

illiteracy ni kitu mbaya…mtu amesoma level ya kufikiria logically/critically huezi muona uko