Dating a Diva ni Stress

example kama ile ilikuwa inatrend some time back…kwa show ya tujuane…yani a guy offer to buy fries nyangau inasema do l lool like l eat chips…yani nakaa chips funga :(…
ubaya ya izi so called divas juu ya kuwatch so much reality Tv ya keeping up with the kadasian…wanafikiria watakuwa treated ivo in reality…

kama ingine ilinishow kama hatuendi na cab siwezi panda matatu…:frowning: seriously hii nyangau ilikuwa serious…ata kama niliona interview ya Nazizi akisema hajawai panda matatu…

ushawai patana na so called Diva inakupea demands unajitoa…

no wonder napenda Lola ni mrembo humble sana…kama sina we relax home and enjoy a movie na soda ya one liter …nikiuza ngwati siku ikiwa poa we go to imax and enjoy later nabuy ile blackforest anapenda :smiley:

halafu ile kitu ilifanya nipende uyu mresh kuna siku printer yangu ilichapaa nilikuwa na stress akaniokolea nikabuy ingine…

humble down to earth…

9 Likes

Kumbe ni wewe aliongea when she
Posted how a niccur is soliciting money from her?

15 Likes

he he, i see what you tried to do there…:smiley:

1 Like

nilipeleka ingine Panafric kumbe Diva ni jina kutumia vijiko huko zikamlemea… anyway pesa haikuwa yangu ni ya organization…[SIZE=4]Chicken Piccata[/SIZE] hajui ndio nene haha

1 Like

am dat ninja who pay debts …tumetoka mbali na yeye
@Ebru ope uli cjay yeye after Chicken Piccata escaped :smiley:

2 Likes

[SIZE=3]Even me I wouldn’t have issues[/SIZE];););):wink:

1 Like

I hope @Nefertities si diva, kikiumana tunaweza kula githeri nyumbani bila tafash mingi

2 Likes

:slight_smile:

@Gio kikiumana nayeye wewe ni past tense yaliomo

leta picha ya diva, wengine wetu tuko in very remote areas hatujui huyo mnyama anafanana aje

11 Likes

Yani kama hakuna cake hakuna mapenzi ;( ;(

nunua ngwati kaka wacha maswali za …sitajibu saa hii am in a good mood

nilinunua ngwati Dec nikiwa nai sasa tunangoja tuwekewe stima but thanks for the advice

4 Likes

@kalel power itakuwa connected…very soon utaenjoy 4K HD ngwati

Aaa don’t think nef ni diva but a woman with standards , kwanza I think she is type A… ( niitwe harusi) I doubt She knows what githeri is :smiley:

6 Likes

Shudda just titled this @Lola
Tungekubali tu

3 Likes

See Nef, people are rooting for us :wink:

Wah!!! I am officially a fala coz hata mimi sijui hiyo ni nini…

4 Likes

:smiley: :smiley: wacha izo pewa DvD ya ngwati on me

alijua hatujui…ndio akatuwekea link tujue…

1 Like