DARUBINI LANGU

sheria inasema kwamba ili uwe mtoa habari inabidi uwe na leseni
hata sisi member unatakiwa tuwe na leseni ili upost habari yoyote au video au picha kwa hiyo hutakiwi kupost habari yoyote bila leseni hili LIMEKAAJE wandugu :D:D:D:D tunakoelekea

Huu ni utani unaleta au ni kweli mkuu?

Wapi
Wengine tumeisha hamia Kakamega tuna JF-ika tuu.

Huku raha tu hatuna ugomvi na mtu

Mwenye blog au forum ndiyo hupaswa kua na leseni… ila wateja wake hubebwa kwa vigezo na masharti ya mwenye chombo husika…

Cc: @Mahondaw

Na hao wateja wake wawe wamejisajili kwa vitambusho vinavyojulikana.

Mwenyewe tayari ninayo. Haaaahaaaaa

Senge zao