Danguro chronicles

Namna gani naona elders mnateka lanye kutoka danguro kwenda nyumbani. Hamuogopi kuoshwa vipi kama loft, quiver switch etc watu huamkia nyumba empty sembuse kuro wa Sj. IoN Eureka has basic lanyes but big boooty waiters aplenty.

Let people enjoy life :dna:

2 Likes

Kula block

1 Like

Kwani wewe ndio niliona ukichota lanye kwenda kwako wikendi.

1 Like

Sasa uimport kunguni na chawa kwako mblo…

1 Like

Wanaibia vienyeji na mafala. Pole kwa kufagiliwa.

1 Like