Mimi na mume wangu tuna kawaida ya kutumiana picha za uchi. Ni mume wangu na namuamini, hivyo mara nyingi akisafiri basi ananitumia picha zangu za uchi na mimi ninamtumia zake. Huwa tuna kawaida ya kufuta, na mara zote nikishamtumia nafuta upande wangu na yeye hufuta upande wake.
Tuna watoto watatu, mkubwa ana miaka 15, wa pili ana miaka 12 na mdogo ana miaka 9. Huyu wa miaka 15 yuko kidato cha tatu na ni mtundu sana tangu zamani, hupenda kushika simu ya Baba yake. Hashiki kabisa simu yangu na kuna wakati nilidhani labda ni kwa sababu mimi ni mkali.
Juzi alikuwa chumbani na simu ya Baba yake, niliamini anacheza game tu. Nilipoingia kumshtua ili kula chakula, nilimkuta yuko uchi kitandani, akiwa na simu ya Baba yake, akijichua. Ilikuwa aibu sana; nilimnyang’anya simu haraka na kutoka nayo, nikiamini labda alidownload picha za uchi kutoka mitandaoni.
Nilipoangalia simu, mwanangu alikuwa akiangalia video zangu za uchi nilizokuwa namtumia Baba yake. Kwa kweli nilihisi kuchanganyikiwa, nilishindwa hata kumuuliza chochote. Nilimfuata mume wangu na kumuuliza mbona ulikuwa hufuti picha zangu ninazokutumia. Akawa hana jibu na akaniambia kuwa alikuwa anafuta, ila sijui zimebaki namna gani kwenye simu.
Nashindwa nifanye nini. Naona aibu sana lakini kwa mwanangu inaonekana kama kitu cha kawaida. Kuna picha hata za mwaka juzi zipo kwenye simu ya mume wangu. Nimegundua kuwa mume wangu alikua anafuta meseji ila picha zinabaki kwenye simu. Sijui nifanye nini, nahisi mtoto wangu tayari ameshaathirika na naona aibu hata kumwangalia!
Swali anazipata wapi?