Midem niajeni na watu wa mipira mbili niajeni… nani anakumbuka ile ngoma inasemanga ivi… pesa zako hupatia kina dada… blablaaaa nimeskia iki ji imba kwa akili but ma nusu nusu
Imba yote sasa.Wacha kuimba nusu nusu.
Yeeee sante
Watafta Bibi ama vipi…
Dunia inapita eeeeh
Kila kitu kitabakiaaa
Binadamu ni muchangaaa
Itabaki mileeleee ni milima…
Majivunio ya Nini…
Nimesahau hi ingine
Yeeee hapo sawa brathe