Dame wa Mchele ameshikwa after kusafisha 1.7M

Police arrest woman who allegedly spiked a man’s drink at a club in Nyali, stole his phone and transferred KSh 1.7M from his bank account.
[ATTACH=full]336752[/ATTACH]
[ATTACH=full]336753[/ATTACH]

Alikuwa amekafunga

Mwizi ni mwizi apigwe kichapo

Its stupid for you to connect your bank account to your mobile. You will be literally walking around with your entire bank balance in your pocket

hio 1.7m kwake huenda ni kama 17k kwetu sisi watu wa 9k salo

yaani pesa za matumizi za hapa napale. i suppose that is why alikuwa amelink na simu

The sad thing here is, una 1.7m na unakula takataka kama hii

OP is a dog…meffi

Mtu aniexplanie ,account yangu iko na app and a two step verification,finger print and a code that appears on a different phone to be used to open the portal,nitaibiwaje kama mtu hajui code iko kwa phone ingine considering app itamshow “input six digits…”? Alipata wapi passcode ya app,assuming ni app:rolleyes:? Ama ilikua tu hapo for everyone to see?

the drug they give you zombifies you unampa all info

This was obviously not a random target. Must have already done some homework on him. Hii kenya kuna wanaume who get so comfortable with waitresses to the extent of allowing them access to their mpesa menu.

Bank gani?

but withrawal of such a huge amount should not be easy ,anyway hes dumb walking into a bar with a phone linked to account with 1.7m

Scopolamine …

Hii kitu karibu inipate Tea Room but I was not drugged… After sex dame alinishw niendee drinks uko Chini tujubambe… I had my wallet in my bag bt left it in the room…

Next day naenda kuwithdraw napata cardi zangu zko blocked. Luckily the cards I had zlikua za majuu. They saw a suspicious attempt to withdraw and blocked all cards.

Report ilisema walitumia MTU digits za card akajaribu kubuy vitu online on their own website bt ikalenga… Your Digits za ATM card both sides are enough to bypass pin…

Chungeni sana kwanza wenye hupeleka Malaya home… Hizi mtego mtu hujua when it’s too late…

Huyo dame kwa hiyo story inakaa namjua… Rink ama Full Mbisha ya iyo Kunguru please

[ATTACH=full]336762[/ATTACH]

Mimi hata code ya mpesa huwa nawaandikia. Simu yangu MTU haguzi fwaa.

Ate atia? Unawekewa dawa na unapayuka kama kasuku? Si tupatie hio dawa baba jayden atwambie uhondo ya siasa:D

Ah,dragon breath

Hiyo nayo ni umama