Dalali Classified Ads

Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea website yetu kila siku.

Kwa sasa OLX wako sawa, boss! Halafu hiyo yako eti lazima nijisajili kwanza!

1 Like

Dalali.chieth

1 Like

I’ll try it out.

@xuma kuja ufunze huyu ngombe website ni nini kwa oswahili

2 Likes

Ungesema websaiti tu

1 Like

Nilikuwa nimefunza hili somo hapo awali.Website ni ‘tovuti’ kwa lugha sanifu ya kiswahili.

Nilikuwa nimefunza hili somo hapo awali.Website ni ‘tovuti’ kwa lugha sanifu ya kiswahili.