I have just seen my hekaya on Daily Post…This village is not safe anymore…
Tell us more
Link
weka link blo
Rink tafsali
kijana wewe wewe kwisha
I can’t, I actually deleted it a few hours after posting, obviously it is not a story i would like to be associated with even in anonymity.
Apa nikucheza chini msee… Escapades zingine unajiekea… The internet never forgets
Si hiyo…
Kush hii kiereere yako inapita tumbo. Wacha kuweka rink wrong
Sasa hii ni kumaanisha nini na vile huwa tunajiachilia hapa kwa kijiji mpaka tunaweza oga kwa river ile style ya ‘nyando’ tukiwa hatuna wasiwasi?
lakini ata hiyo link kush ameweka hapa bado ni hekaya imeibiwa kutoka hii kijiji ikapelekwa huko.
hadi na mbica
Careful we should be.
mboss hii kijiji imejaa moles
Hadi 3G tricks haziwezi last bila kufungwa
mpaka wamepost ile ya macousins!
http://www.kenyan-post.com/2015/10/story-of-my-life-how-i-has-sx-with-my.html?m=1
hii kijiji ni kukomaa imekomaa…ndio unaona new members daily hata ingawa wengine ni multi…