Dagorretti North :Shilibwa(ANC) vs Elachi (Jubilee)

Naskia dagoretti North omwamis siasa ya Nairobi ni ngumu jameni wamesema simba arati vindu shii its either Shilibwa ama Elachi suti ya six piece ya baba lazima iraruke dagoretti north na simba arudi msituni…

4 Likes

Mkisi wetu pointman wa kisii arati naona ata endelea na uongozi he is a bigwig

2 Likes

Hope u know luhyas are almost 60 % ya dagorreti north and if NASA votes are divided Elachi may get it ama ni Omwami as for Arati the ground is shifting away from him

1 Like

Ongeza 28000 za wakikuyu hizo ni za elachi

Kura za Simba haziko dagoretti ,all yrs simba has been importing voters hata this yr expect that:D:D:D:Dwakisii wote wenye tuko Nairobi kura zetu zote ni za dagoretti :D:D:D simba tiibim

Na wewe unafikiria tuli export ngapi huko?

That thing was tried in Kariobangi, ile vita ilikuwa huko, ilikuwa noma sana. :D:D:D:D

The same thing happened in nakuru west last election, mkisii tratior arama ali import wakisii wote wa nakuru wampigie kura

Arati atapita na hiyo kitu 6.00am polling station ikifunguliwa.

1 Like