Dads Mnasumbua

I totally understand that a father should love his kid(s)
A caveat: I have never been one
That aside, we shouldnt forget who we are
We are africans
Lions of the human kind
Weakness should not be seen
For rulers are strong
So it defeats me when i see men carrying their kids everywhere
Mara kwa butchery, kinyozi, kubuy gazeti, kwa shop
Ni nini mbaya
Hiyo ni umama.
Beba your kid in the house or hapo kwa balcony
Hii kubeba beba mtoto kila mahali, is a sign ya kukaliwa
Kwanza the part that sucks alot ni ile the dad ni mzae so the kid isnt the first in his life
Mzee, na bado unabeba beba mtoto everywhere na kusema bujubujubuju baby speak
Asii!
hujagrow into parenthood
Bebeni watoto within your house
Na tusikae ni ka tunasumbuana

Once you sire your own, you’ll get the point.

9 Likes

kuwa sissy?

Inakaa haukubebwa ukiwa mtoi nini? Mzae alikuwa long distance truck driver ama?

6 Likes

mzae alikuwa biz man. He was always there with me. But hakuwa na hiyo utoto

2 Likes

No wonder, seems uko na daddy issues. Sisi tulibebwa and we turned out great.

5 Likes

kwa heshma ya wewe kuwa emir wetu hapa, sitaku.engage

Until you get your own, just shut up. Kwa nini unasumbuliwa na pilipili ambayo hauli?

4 Likes

Hehehe… Sawa

Present day young fathers want to be 100% involved in raising their children sio kama wale wa kale.

2 Likes

:D:D:D:D bujubujubuju. Morning Mr. Bingwa

1 Like

:D:D:D

I doubt it.

Acha kutusumbua Bingwa na insecurities zako. Kama una wivu, tafuta mnyanye akuadopt.

2 Likes

@mabenda4 Kuja uelezee @Bingwa Scrotum kiwaru ni nini vile ulieeleza kwa ile thread yako a while ago naona ako nayo

1 Like

Lakini bingwa amesema ukweli. I love my kids but hii story ya kufuatana nao kila mahali ni umama

[ATTACH=full]53273[/ATTACH]

nililia NIKIWATCH ile movie ya THE REVENANT

Sasa wewe unatembea kila mahali na watoto kwa magoti, lakini hutaki walioamua kuzaa na kulea watembee na wao?

Does your statement even make sense to you?