[MEDIA=instagram]BmwXis8FEyf[/MEDIA]
@Sky Eclat @Mwifwa @Mfiaukweli @Kylie
Nimesaidia kumwamsha
Maybe Best but she is here to stay and fight against that killer dictator.
umeaibika kwa umbea wako
At least I could not imagine the type of turn around! Nimepoa! Karibu Mange Dada wa taifa
Mkuu @BAK1 umesaidia kuondoa kitendawili hongera!! seriously niliogopa
Angalau sasa kuna tumaini SOMETHING BIG IS COMING!
Alikuwa hajalala, ila lazima uwe na tactical retreat! Nawapenda wanawake kama nyinyi msiotaka kuumizwa na wapumbavu akina Jiwe!
Let’s hope for the best maana hali si hali hawa makaburu sasa hata kupokea fomu za wagombea hawataki.
Ni kweli inatisha sana kuona watu wanavyorubuniwa kirahisi kabisa ili kuganga njaa zao. Walianza na Slaa 2015 watu wengi hatukutegemea kabisa na sasa wamemnunua Mtatiro. Nani aliyetegema Mtatiro awasaliti Watanzania?
Mkuu yaliyomkuta Mtatiro alipokuwa ndani wewe acha tu
Za kunyapia zinasemaje Sky? Kwani alipata nini?
Tunasubiri…
Wamemuwowa… Huu ni unyama wa kutisha sana. Sijui nchi yetu inaelekea wapi jamani! Dah! Halafu watu wanatoka hapo na kwenda makanisani na misikitini wakijifanya ni wacha Mungu!
Alikumbwa na nn Sky?
[MEDIA=instagram]Bm0u0Z3lK7Q[/MEDIA]
Udikteta wa kisenge
Walifumua marinda kisha huku wanamrekodi
Aisee