D minus pale Tanzania... yaani hata hawafichi ufisadi

[MEDIA=twitter]1556758066804162561[/MEDIA]

walituambia Ujamaa dealt with all vices, ati wezi huwa TZ ni wakenya specifically waKIKUYU

The same thing happens in our CBD… albeit discreetly.

Naonanga wakiingia kiti ya mbele gari ikishukisha wasee pale posta…

@Yuletapeli huwa unabudget how much za karao kwa hizo matatu zako?

Karao hukula Soo. Akiitisha zaidi ya punch nilisema gari ipelekwe station. Hiyo Soo ispart of the daily budget by the time wanafika tao squad ya asubuhi huwa wanakuliwa between 800 and 1500. Hio Doo they recover during the day. Akishawapatia anakuwa immuned nikama amenunua freedom. Anaweza beba excess. Majioni.

Tao pia naskia huwa wanalipa kanjo chuani wanashukisha watu popote CBD.
Nilijaribu kuwasho how they should work wakanisho hivo hawawezi pata pesa. Lazima tu wavunje sheria.

Nothing new

TZ is a mafia republic. Ata kenya ingekua hivyo if we hadn’t voted for kibaki in 2002.