Eve ange rushia yeye hata kama ni 100k…
Ukichengwa na uwachwe,kindly dont bring such nonsenze on Social media. Akilipia yeye nyumba hakuai kula hiyo crack?
Mtu ukiishi mahali kama hapo nguvu ya kusimamisha unatoa wapi? Sii ile kidogo uko nayo ujisaidie kwanza before uanze kufikiria mambo ya ngono. Mimi kila time nikiwa basement kitu huwa nafikiria 24 hours ni vile nitatoka at least hata nifike ground floor. Ngono na anasa zingine natupilia mbali. Sasa ni mjinga mgani huyu akipata hela kidogo kitu ya kwanza anafikiria ni skirt? Kweli wahenga hawakutuvisha kilemba cha ukoka walipotuambia tumia punda vilivyo akufae.
Someone achunge sana asikule copper. The GSU officer might be planning some revenge chini ya maji.
Weka video hapa bana.
i have a cuzo who is in the Ap…jamaa alipata B plain kcse…lakini kutoka ajoin karao ame regress…eve alipe uyu jamaa… this guys no matter how sharp they were,wakijoin force kuna kitu hu happen wanarudi tu minus bonobo settings…its not nice having a d- as a personal enemy
Eve hapa amepigwa filta mpaka anakaa sexy little mermaid…Eve amekafunga sai wakiwa na huyo chali yake, kwa mwezi hawakosi 600K kwenda juu.
Ongopa wanawake .Uber driver @poyoloko after kufutwa works alikua anatolewa nje na Bibi avae mothers union .
Meanwhile ghaseeer ilipopata kauber kwingine ikajilipisha kwa kumzalisha chura ya 6.