D- LIGHT TORCH CHARGER

Naweza pata wapi charger ya his torch within the CBD?

[SIZE=16px]Mine got lost in some funeral I was attending over the weekend.

Saidieni prisssss[ATTACH=full]45015[/ATTACH] [ATTACH=full]45016[/ATTACH] [/SIZE]

Uko na thao?

pia mm,kathao tu @shoti_mzito

Yap

D-Light is sup[posed to be D-Light solar, yaani solar charged. So unataka hio solar panel ama nini?

Total fuel station

Ndio

Hapana, charger yake ni kama ile ya Nokia 3310- pin kubwa kiasi

Wee mboss. Kwani huko Vumbistan hakuna ICT technicians wa kupangusa keyboard?

2 Likes

keyboard chafu

Niliangukia ka mine ka rubies huku Arusha, nakachimba polepole na maboys wangu niliwaokota ukambani kabla Maghufuli anishtukie.

It’s dusty all over lakini pesa ni nyingi…

Mzee tulia na uwache kusumbua,wengine wetu kra imetufungia ka mushahara ka hii mwezi.

1 Like

Lakini wallet imejaa pesa na ni safi:rolleyes::rolleyes:

picha ama ni hekaya

Guka, hiyo ni keyboard ya cyber. Ka-attendant kako busy sana kakipost picha Instagram kama kamepanua miguu.

1 Like

Evidence ndio hii:

[ul]
[li]Wallet safi[/li][li]Pesa kwa wingi[/li][li]D LIGHT TORCH[/li][li]Charger nimeletewa na 500/- and my budget was around 3,000/- . So thanks very much for the lead.[/li][/ul]
[ATTACH=full]45022[/ATTACH]

1 Like

si ununue torch ingine na uache kusumbua watu hapa

2 Likes

Nani amekuongelesha shenzi hii? Angalia saa ya muindi kwa ukuta lunch time iko karibu kufika uende ukalale kwa nyasi mpaka saa nane, matako ya siafu wewe…

That is not a charger. That is an ac/ DC converter. It will charge and then kill your batteries. But is okey. Enjoy.

Omwami, uliogopa ku declare wealth ama? Sema uko na biashara ya kuuza vitenge kama yule madam wa Kisumu central station alipatikana ako worth 80m