nani anafanya huku?
Unataka kuvukisha bangi gunia ngapi?
6 Likes
sina bangi, ni electronic moja na sina receipt, used one.
ita our brother @incognitus akupe contacts
3 Likes
Used personal effects hazina ushuru for returning residents … Wewe ni raiya wa wapi?
1 Like
I guess nimetiwa baridi for nothing, am a Kenyan.
2 Likes
mkenyahalisi amesema yote.
It should not be a problem,
Ati mini?
nimepita bila wasi wasi, asanteni Sana, hawa watu wa basi ndio walikuwa wanataka kukulia
2 Likes