Customized Ringtone

How can I put a custom ringtone so that when my creditors call, wanaskia simu ikilia “mteja wa nambari uliopiga hapatikani kwa sasa”?

1 Like

siri ya deni ni kulipa

Hiyo skiza tunes hawatakubali.

he he

Custom voicemail message is what it’s called if I am not wrong.

I thought females…hawaulisamgwi kuhusu madeni??? Kuna makende paleee-----»»»

na kama hauna pesa na unataka kujifichia mtu?

kwani lazima itoke kwa skiza tunes? hakuna option 2?

how do i set it up?

You are wrong.

1 Like

Inakaa sura haijipii:D

210722199199# if you are on safcom.

Kudeactivate utajipanga.

1 Like