Customer Service at Airport

Lately Airport hakuna privacy ata kidogo. Siku hizi hakuna stickers za pay bill ama buy goods kwa ukuta.
Kuna wasee kumbe walikuwa wakiedit messages.
Right now kila mtu anapewa till yake tofauti unaonyeshana message na si ile ya mpesa app ama trucaller.
Akishaona hivi anadelete hio message. Next anakuuliza jina yako. Ukishasema anashout na nguvu kuconfirm.
Saa hio ni goverment name bana unasikia tu Kavajo ameweka soo mbili.

6 Likes

Ulivuka provinces kathaa ukaenda mpka Githu kukula maraya ya miambiri airport?
Kijana enda kanisani uthubu dhambi

2 Likes

Imagine rich kid wa Kahawa Sukari anakula maraya ya soo biri Githurai.

Badala ya kuvutia dem waya, dem akuje kejani wakati Mathee yuko job. Heck, ata anaweza kwenda kupick dem na ndai ya Mathee.

Jua Cali ni neighbour yake, na haezi enda hata kuitisha Jua Cali mistari za kusuka dem.

1 Like

Kijana ana nduthy anafaa angurumishe akiokota tu F4 leavers tumejaa kila corner akitupeleka green lodges akifurahia.

2 Likes

Msee stori za senke nilitoka huko bro. Siku hizi nasukuma Toyota Ractis ya mathe

1 Like

I went to airport once na hio place ni bottom of the barrel ..Huko ukikunywa beer wewe ni bazu

Tangu nianze kuenda Airport sijawahi kunywa beer huko. Mimi hufika shukisha toja kwa magoti dinyana na nimetoka.
Nitapanda hizo gari za 20bob nirudi Kahawa.
Malanye na walevi wengi husema wananiona nikikuja scanning for the best target, fucking her na kuenda. Sina stori na msee.

1 Like