Customer care week chieth

Getting texts from where…
Safaricon
Naivas
Central bank
Mama mboga
Etc

tunataka za amar, rico, SJ, good hope etc

Kuna wale wamepata za Sabina Joy na those dingy places. Sitataja majina…

Even waizi …okoa stima,how did they get my official phone number ? Keter and 40 thieves !

Nimepata ya @Motokubwa for being a Thufu customer.

Does he give on credit ? Ako na kitabu ?

hii wikii niko front office wadau ,

Unapatia castma choice ya chai,kahawa ama juice? Kawaida back-office unakimbilia mtungo Na kdf?