Cussons Imperial Leather

Mbona hii sabuni hunuka kama mavi? Leo nimeoga na hii sabuni nimeshinda nikiskia smell mbaya sana.[ATTACH=full]66220[/ATTACH]

hehe… magic spray ya huyu referee imeisha…

Jana kuna milevi ilikuwa inakimbizana na tu-subaru streets za nyeri. Nikaambiwa it is the third sato night. I am worried they might kill people soon

You visited a cheap lodging? ???

A study was done years ago. Cussons was the best soap in the market, with the least amount of heavy metals.

Tafakarini hayo…

@Unataka Kujua Ili ???

Disgusting soap

walikuwa wananuka Meffi pia?

Who paid for the study?

Kariobangi Industries…

Tabia hio yao ndio nilifikiria ni umeffi. If it was determining whose car was more powerful si wangeenda kwa airstrip na kuna tarmac nzuuuri.

Hiyo meffi ni wewe. Kwani umesahau jina yako?

Mtu akiwa na mimba husikia kila kitu ikinuka Al- toilet. miezi tisa tu utakuwa sawa

coz ni toilet soap¬!