Currency exchange

Mbirrionaires ni wapi naeza badilsha dirhams to kshs nikiwa CBD?

ASANTE.

Enda apo Forex kanaitwa Modern Green. Mathe yeyote huko atakubali kutrade your dirhams. Good Luck

International Life House, ground floor.