Curfew To End Next Month

[MEDIA=twitter]1445990973687975936[/MEDIA]

Waseme wameiba hadi hakuna cha kuiba sasa ndio wanatuenjoy hapa itakuwa lifted

So what will happen differently in this 30 days? Poonder yeye

Hii gova inatuchukulia ujinga sana

Kwani bado kuna curfew. Mimi naingia home anytime

Vaccine rollout ndio gamechanger. But still a long way to go. Plus campaigns lazima ziwekwe high gear

There is no curfew. All long distance bus companies have night buses departing Nairobi and Mombasa at 8:00 PM

Wacha watufungulie tunaungua sana hatuwezi kula gati kwa amani kabsa. Tafash tupu hata public beach hakuna starehe.

Last week nilitoka Chuka saa tano nikalogin buruburu around 2am after dropping asomeone at umoja na nikapata huko watu wanalewa tu tukapata mbili before ni proceed:D:D

watu munasema hamutambui curfew ni sawa but shida ni huwezi enjoy night life kama vienyeji zinaogopa kutoka kwa nyumba kuja club juu curfew bado iko. hakuna haja muende club mupate ni ndume tu zimejaa.

Uhunye atoe curfew madem watembee usiku in peace

Nashanga pia. Huku watu huingia kwa nyumba ile time wanataka. Kama bado unafuata curfew hours wewe in maskini ama MTU muoga sana.

The curfew should be maintained. Ulevi, crime and accidents have reduced.

umbwaaaa

kumamayo fuck yourself.

All i know is that nitapiga sherehe hio siku kwa mpigo

Curfew haitawahi isha :D:D

Sisi watu wa reserve hata hatujui curfew ni nini. Huku klub huwa open hadi pesa imalizike ama jamaa wa counter na waiters waamuwe kufunga whichever comes first.

Man,i miss life pre covid.They should open this country ASAP!

That must have been Evolution.

Wewe mwenye pesa kweli,hujali peasants.