Curfew Ni ya Peasants

Corona super spreader events.

Madawa bado ziko coast zimenaswa na kra?

Ata sio madawa. Its that you need special attention when you have covid plus okimwi. How many kenyans can afford ventilators? Watu wanakaa tu nyumbani wanakufa

Magari zinaenda

Wapi data? Ama ni gut feeling?

Facts. USAID bado wamezuia dawa za Okimwi port

But watu wamedemontsrate curfew is the most archaic thing this government has done. Life has gotten so expensive recently they should ease the economy.

Dawa za ukimwi zikuom faster faster. Kutakuwa na spike ya ukimwi bila hizo madawa.

:smiley:

Serikali iliamua itasacrifice okimwi victims