Cry for help

Aiii nani alisema unaekelea 6.5M? Unaekelea 30 percent around 2M, monthly unalipa around 120-150K for three years. Ukiwa na discipline unamaliza na two years hata. After that nikurudisha mos mos, after four years unaiuza 3.5M.

2 Likes

Nyamaza tu endelea kukula lanye pris

3 Likes

Uzuri nimewacha kula old mamas

1 Like

As someone mwenye amefanya kazi ya matatu kama makanga I can comfortably tell you matatu iko profitable sana. Offload ya gari daily ni 6-7k after ushalipa doo ya magament. Siri ya mat ni kumake sure the 1st 2 years umerudisha doo uliekelea. The 3rd year kuenda mbele ndo unaanza kumake profits. Na pia usiwe unakula pesa ya gari kama ng’ombe. Tenga pesa kidogo kando incase gari inahitaji service, inahitaji repairs. Also condition ya gari inategemea dereva unapea gari. Ukipea dereva wa ma mbio gari itachapa haraka. Ukipea dere ametulia hana pressure na ako careful gari itakaa miaka mob sana. Najua city shuttle flani gari ni KCA imekuwa job hii route ya Kangundo Rd tangu inunuliwe back in 2015. You can imagine huyo investor ile pesa ameunda since 2015 hadi wa leo, that is 9 years later. Mimi hata kuna mat ilikuwanga inatubeba nikiwa primary nilicheki juzi bado iko wera bana. Unaeza imagine mat ilikuwa inanibeba back in 2007 when I was 11 years old bado iko kwa barabara and in relatively good condition.

3 Likes

Hii ndio kitu nasema. Huwezi sema with a level of confidence your real annual return on investment in percentage terms for the entire duration of ownership. I believe most investors huunda pesa but they have no clue how profitable or not the business is.

Mimi najua nikiwekelea shares ROI yangu ni ngapi mwaka ikiisha. Last year was rough I made just 34% on my investments. Wewe ni ngumu kujua hizi figures for your business juu kuna too many moving parts.

4 Likes

Niliona ulifika pale kwa eriko along kangundo road kwa yard yake, si uingie umoja usake madem, many years ago huko ndio area tulikuwa tunaenda kuwinda tudem, kama si umo ilikuwa buruburu. Sijui siku hizi kuko aje but madem wako hata pale koma ni wengi sana

1 Like

Inakuanga hivi, kila gari na account yake. Kwa kila thao saba zinaingia, weka 1500 za maintainance. Hio huwa haiguzwi. Again mat hukusaidia kujenga account na kupata loans za haraka. Kujijenga na mat ni rahisi sana.

5 Likes

ROI ya ma3 ni what percent per year?? Hiyo ndiyo swali investors hawajuangi jibu.

Biashara yenyu ina pesa lakini ni ngumu kujua hesabu zenyu.

2 Likes

Kuna dere alikuwa anadrive gari ya masa nikiwa mdogo. Hio ilikuwa side hustle

Main job ilikuwa taxi but covid came plus online taxis. Jamaa alinunua jalopies mbili akachapa rangi na kuweka matatu za town service

Siku izi ako money flow

Matatu sector ukipiga hesabu ya karatasi itakukula kichwa sana. Mimi huangalia pesa imebaki, nimeipangia aje, nimefanya nayo nini, na plan kufanya nini next. Mat ni ya kuleta pesa ya haraka haraka na kusukuma maisha, kwa mfano nikitaka 100k, najua nitajipea a few days say 5-7 days na nitakuwa nayo bila stress ya kufikiria vile nitarudisha. Ni ya kusukuma maisha. Inakusaidia kupata pesa ya kufanya mambo yako, iki beat una repair unaendelea…challenge ya mat ni moja tu_kupata dereva mjinga/mlevi/m-careless. Polisi sio shida hata.

6 Likes

Thats what I have been saying hapo juu. Kupata dere mzuri kwa mat inakuanga shida kabisa. Polisi hapana shida. Kupata dere mwenye atamaintain gari ndo inakuanga shida kabisa

5 Likes

Unajiendeshea mat ama umeandika mtu?

2 Likes

Kuna drivers, mimi hapana driver.

2 Likes

Kupata driver huwa tricky sana

1 Like

Wacha nikupee challenge babayoo. As a matatu owner, siku moja amka uchape kazi na gari yako for a full day ujue vile kazi inakuanga. Kuwa tu dere for that day na make sure donda hajui wewe ndo mwenye gari. Kama anajua, saka donda mwingine mwenye mtafanya na yeye wera for that specific day only.

5 Likes

Najua huwa na doo, sijui ku drive mat. Kadere hawezi kosa 2500 pia makanga. Kuna makanga kadere alimfuta job juu alikuwa anaweka soo mbili ama soo tatu wakifika mwisho wa gari. Jioni anaenda na zaidi ya 3k after mshahara yake ya 1500.

Bora target imefika na gari haina dent huwa sina shida, bora kugigatha doo yangu imetosha by saa saba sina shida. Kuna day nilipanda, makanga akaniitisha doo nkam cheki akaenda kuni seti kwa kadere akaambiwa “huyo ni mwenyewe”…akarudi aka apologize nkamsho zi…shika pesa yako yeye ndio ako job mimi ni abiria tu

8 Likes

@Yuletapeli @EL_CUCUY mnichoree job nitoke kwa mabawa ya masa saa hii napigiwa kelele sufuria ya chai nyama na ugali ni gani

Morning ilikuwa niweka sabuni kwa maji chafu. Mara napanguza nyumba na maji chafu.

Ata nimechoka

4 Likes

Hehe, unapitita mengi kaka, iza joh

Hapa afadhali.
Huyu ni Rozie?

This is embarrassing. Utashindwaje kudrive mat na ndiyo hutumika driving school?? Sijaendesha mat since driving school na siwezi maliza siku moja kabla nikumbuke kuiendesha. Gari automatic personal zilifanya watu wazembee. You should at least know how to drive your vehicle.

1 Like