Creation of a big gap; the tale of a generation we are loosing.

I hope this is the last hekaya on this juncture natoa. Besides ikiendelea hivi, hakutakua na hekaya ya kupeana coz we will loose the generation.

I was taking a cold coke hapo Kayole junction on Sunday. Sikunywangi by the way (my ex whom I introduced to Kenya talk ( Dem!!! I wish I couldn’t have done that) ) Can a test to this. Hapo opposite Total petrol station ya Fedi 1st floor Kuna bar ingine inachoma nyama zenye nashuku sana si halali but haijalishi coz hua sizikuli.

Ghafla bin vuu/fuu nikaskia Twaa, … Twa…Twa… majamaa wote kwa hiyo stage Rrrrrrr papers wale tulikua kwa bar chini ya meza. Vijana wannee wakatokea wamevaa viatu za velvet na longi fitting high waist kiasi. I could see them run past the bar wakienda side ya Obama estate kwa kina Pamba.

No tribalism intended; hiyo place imegawanyika mara mbili. Huku mbele ni kwa red eyes na kuko conjested kiasi alafu huko nyuma towards the river ni kwa kina Jatelo more spaced and houses there are more of individual residetial homes. On hearing the commotion the guys from the lower part started organizing theselves. Wasee wa mjengo gatherd in groups and placed themselves strategically ready to lay an ambush.

Maboys kutoka hapo mbele wakarelax na kustroll pole pole towards Mile Saba. Ndi… mmoja chini the rest including the one with the pistol scattered wakawacha yule mwenzao chini.

Thinking wameepuka, they did not know what awaited them mbele. Chaaaa… the mjei guys wakacorner. Rrrrrrrr Buup… Rrrrrrrr Buup… Rrrrr Buup kila mmoja akapata jiwe ranging from the head to the legs . Wa pistol akaitoa: Pwaaa… the guys dacked. Kchaaaaa Kcaaaaa Kcaaaaa. Bullets zimeisha. Akaitupa kwa kichaka then decided mguu niponye. Huyoooo akahepa jamaa wa kwanza, chaaaa wa pili, kufikia jamaa wa tatu Rrrrrra sweep smarta (how they call them) chini.

They guy who sweeped him akamshika na side ya nyuma akambebe juju hadi kwa wenzake. That is when I discovered that the smarter had a golden tooth and some silver bling blings. Jamaa alikua anafikiria ni jokes anasema jamaa uma verco jo. Kufika kwa ile crowd akapata majamaa wake wote wamgenya. Thats when reality checked in. “AKI MSINIMADE NTACHANGE NTACHANGE AKI NTACHANGE”. One Jaduong with a hummer akamwekelea moja kwa kichwa Taaaaaa. Chriiiiiiiii Damu ikaruka kama meter moja kwa hewa. Thats when I ran away. Aftermath was four smarters dead.

Hiyo place nimewacha kuenda till further notice.

12 Likes

Hakuna mob justice mbaya kama ya wajadhe …they don’t waste time.

7 Likes

i got a bit confused there…

sasa jangili unaiwekea ya nini?

@Uncle Best unafaa u -direct ki movie ka Nairobi Half life.
na uweke hizi ma special effects

12 Likes

na kama mtu ni innocent…kuna maboyz wengi wamededishwa na mob na ilikuwa mistaken identity…actually the real thieves turn on the innocent…mwizi anafukuzwa alafu kidogo kidogo anapiga right corner karibu na mjengo anageuka an innocent by stander akim point ati mwizi mwizi…b4 innocenty realises what is happening Otieno wa mjei ashamuuekelea two hot slaps…na mkono ni ngumu kama simiti

5 Likes

Swali tu. Wewe ni Dj Afro?

3 Likes

Zi

1 Like

Hii pistol nani alichukua??

Mambo ya blood sijui. Coz walikua wanaenda Maili saba. We kama uta avenge is up to you.

@Uncle Best I can tell you that sai vile shule ziko karibu kufungwa kutakuwa na an increase in cases of crimes in that area. Siku hizi madingo ni watoi wa shule. April, August na Dec watu hawana amani Saika. They are so daring that they can rob people in broad daylight. A reformed gangster who is now a Pastor once said that there are 2 ends to a criminal: uache crime uokoke, ama kifo.

Uncle best wewe ni mkisii ,talking of obama yenyewe huku mbele ni kwa shiny eyes nyuma ni jaruo alafu mwengenye ni wakamba.

2 Likes

@Uncle Best= Dj Afro… Hizo sound tracks jo…

1 Like

Hako kamguu ka kuku niaje?.. Nipe map yakaforest

Sielewi unasemaje

Unafaa kuishia pale Kenya Theatres, hizi special effects zitacome in handy kwa kudirect movie someday so usiwaste talanta