CRB

Sasa nilikuwa nimeapply loan bank ya wakulima kama mimi and they told me account yangu iko sete naweza get not above 265k.
Lakini …lakini nione hao wasee wa crb kwanza sijui niko na kitu nafaa kuclear … the fuck me sijawahi chukuwa loan milele…

Dawa ya deni ni kulipa

1 Like

HELB

Mshwari or okoa jahazi can land you there. Apana cheza na hizi vitu ndogo ndogo.

Never me si msee wa help bana

That too sijawahi kopa mshwari the only thing i know nikiweka credo ya 250 safcom hukata mia moja siju funny sms subscription etc

idle accounts za kitambo

lipa mama mboga. hapo ndipo shida iko

4 Likes

Higher Education Loans Board (HELB!)

1 Like

Chief ulisoma literature wapi. HIO inaitwa satire.

13 Likes

Ebru hebu piga Ile story ulikuwa uingie army.

2 Likes

Niaje new villager:D:D:D

2 Likes

ushai poteza id?

Idle accounts how? They don’t automatically close if you don’t use for over 3 months?

Is there a code or way someone can know if he is owed by the CRB juu naona wengi wetu tutashikwa flat foot

Nilisema mods wengi hapa hawajasoma, I’m being proven right everyday

3 Likes

haha nonsense mbona unaakili ka ya.maasai… Btw wewe me hukishuku si ule uwesmake wa klost

Ni kama mawatchie venye wanakuwanga mafala huwezi reason nao

3 Likes

That’s the same type of vibe that I get from most of them… Yaani a dude is given a moderator’s work anaona amefika… Probably doesn’t even get paid and moderates less than a thousand people

1 Like

Wanalipwa na nini sasa? Hukuskia boss akisema pesa hakuna?
Ama wanalipwa na likes zenye wanapokonya kina uwes.

4 Likes

Mimi nimefika.

Meza wembe.

1 Like