There is this job my younger bro ameitiwa interview but the requirement is crb clearance Certificate the guy aliblaklistiwa for 60k loan he doesn’t have now .
Mwanaume ni kuingia CRB na kujitoa.
Mchimba kisima marejeo ni ngamani.
:D:D:D Hakuna methali kama hiyo. Mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani.
:D:D
acha uongo:D:D
aende kwa interview ajieleze, aseme ako blacklisted due to 123…
Mhurumie @ChifuMbitika ni Msubcounty
Mgaagaa na upwa sharti ainame
Vpi @Meria Mata
Haha na haba hufunzwa na dunia.
Poa sana Deorro