Niko kwa kinyozi fulani hapa Kangemi zile huwa zimeshikana na salon, kuna mtoi amekua anasukwa kilima,akakalishwa kwa kiti ndogo kisha yule dem anamlaza kichwa yake kwa laps zake ndio amshuke,huh!kufikia katikati huyo mtoi wacha apige nduru,mamake amuuliza analia kwa nini!mtoi amesema eti “huyu auntii anañuka huko ndani sitaki anishuke”!na kumejaa watu kwa salon. Wah!mamake anapumua moto.
Kids say the darndest things…
Acha nicheke kwanza narudi. In Schwaznegger’s voice"I’ll be back"
That kid is not crazy.
That kid is being honest.
Nasi mtoi wako uncle @ssp ?
ambia bibi @ssp aende aoge,inakaa hakuosha hile @shotimzito ulimpea asubuhi
:D:D:Dthat kid though…uyo aunti leo anasugua io kitu bila mchezo…lesson learnt the hard way
Wah! Iyo itawekwa kwa kumbukumbu
:D:D:D
Unaniuwa,narokotwa,niwache[ATTACH=full]115540[/ATTACH]
umama
You just made my Sunday worth waking up. Pewa kikombe kubwa ya uji na tosti mafuta,
Yenyewe ni salon
You just reminded me of my childhood and a certain salon. I envy that kid coz she spoke up,some of us suffered silently.
apana leta mcheso