Covid-19 n my business

This Corona has affected many businesses , but since I operate 3 businesses, barber (closed) ,. Electronics (not doing well ) , Gas business (100% profits)…

Sahii most families wako home , gas zinaisha na 1 week , making a sales of 20+ per day has become my daily routine , m earning like a lecturer. Tabia ya utajiri imeanza kunisumbua .

Nimeanza kuona wa2 wengine Kama hawajui biz… Mungu nisaidie nisiwe na kiburi …

Hata estate nilikuwa nastay nimehama , nimehamia place classy kidogo fearing for my security …nalala na imagine wezi wakivunja Duka yangu… hehehehe hii ndio mashinda matajiri hupitia au NI bangi zangu ?

Uko na busara, na ubarikiwe. Wazungu wanasema uerevu wako ni katika “diversification” ambayo imekuwezesha kusaidia ilhali bado wafaidika!

Nikuje uniajiri?