Covid - 19 doesnt seem to sweep African Populations

[ATTACH=full]294799[/ATTACH]ovi

On 29th January 2019, WHO identified kenya as a high-risk country along with 13 other nations. The capacity for testing in Kenya is 300 per day. Nations that have high COVID-19 confirmed cases are also conducting mass tests. Unless we do that we’ll not know the extent of the infection.

Does it matter if it is not killing

There was an article on Monday’s Daily Nation about increased cases of pneumonia in the country. It was unsure where those cases are related to corona, since pneumonia and Corona symptoms are very very similar.
Hii kitu ilifika huku January.

It matters for a tourism reliant nation like ours.

Hii kitu ilifika huku kitambo. Wengi wetu tushakuwa immune against it.

This thing has been around. Probably 1 million plus people got infected and their bodies fought it off. As easy as that. Watu warudi kazi.

Mid January Neighbour alikua na flu mwenda, akaenda chemist akachukua madawa akakaa kejani. Siku ya tatu anani call nimpelekee food ameshindwa hata na kupika. Kumpelekea food nikaona akikaa kama mtu anaenda.

Juu ni kichwa ngumu, niliita neighbour bila kumwambia, venye alifika tukamlazimisha ndani ya gari na kumpeleka hosi. Kufika hosi doc asked her ama alikua anongojea kufa kwa hao. Pneumonia. She could barely breathe. She was admitted two weeks.

Mwingine nayeye alikua msick kupelekwa hosi ilikua ni T.B.

Labda hata hiyo kitu imeyoka huku. Kwanza vile machinko wakekuwa huku Kenya labda walitoa hiyo kitu huku wakapeleka kwao na kuanza kulaumu bats bure.

Hahahahaha

Walifanya DNA sequence,hio kitu ilitoka pangolin.

wamefanya dna sequence kenya?

Antibiotics is what you need kutoa pneumonia.

Alinyuria ama alipona. Ghasia peana full Stori.

Alipona.