COVID-19 aka Corona

Itamalisa Sisi…[ATTACH=full]288091[/ATTACH][ATTACH=full]288092[/ATTACH]

Generally slow.

Naona ikikanyanga Kenya, itakua vita. The first affected obvious being the capital city . utakua unaenda mashinani unakutana na raiya hapo kwa stage wakikungoja na mawe,ndio usikanyage huko.:smiley:

Niko suguta valley