Coutinho! That Stayed Hit!

Half time, Arsenal 1:1 Liverpool.

Liverpool hawangepenya na hizo week attack zao

GG Ndani kama thong…:D:D:D

Tuko pamoja, HT X ndani. Though nlikuwa na-expect 0-0.

Lallana, Cech toa ndani

It’s not going the gunner’s way.
https://my.mixtape.moe/jwqyor.mp4

4-2 correct score

Coutinho tena. Ni kubaya

Na ingine yake:):):slight_smile:

Sorry 5-3 in favor of gooners

Acha wachapwe ndiyo that stingy old man to spend some cash.

Hehehehe. Lakini Wenger is not serious, how do you pair novices in defence? Chambers and Holding, seriously?

Mmelala, hapa hakuna ujanja.

Mane. 4-1

Hahahahahahaha umeona Mane?

Leo Arsenal ingeshinda ungeskia Wenger akisema he has confidence in his young squad n hangenunua players. Bado arsenal inakamuliwa kamu kamu , 1-4 na bado

Both teams are very poor in defence.

Shida ya Liverpool ni leaking defence

Khai hivi ndivyo wasee WA CORD huskia under Babuon?

Now he will go into panic mode, kununua useless midfielders.