Sasa vile county walipewa mapesa yao na wakaambiwo first charge should be settling pending bills hata kabla pesa haijapoa, wenye mko na pending bills za county mumelipwo? Kuna county iko na mapesa zangu nataka kuwaamkia kesho asubuhi na mapema nikipiga duru nilipwe
Doing business with county government is like committing suicide
3 Likes
All the best gakima
1 Like
Nimelipwo!!! Tena tena nijikute nafanya beershara na county tena, nipigwo. Hata nimenunua viatu mpya nitalala nazo leo usiku
https://twitter.com/JaMtoka/status/1678444237895999496?s=20
Naenda kununua hii Rangey, inakosa part ya £150 pounds pekee. Sema nyota yangu kungaa
Naona umetoroka senate😁
Congratulations kiongos
1 Like