Banae!!! Kuna arif wangu anadai Kiambu County 66m. Namuulizanga walianzaje ndio ikabaki anadai hizo mirrions ananyamaza anaanza kulia. Mimi siku hizi biashara zangu ni za cash; nipe nikupe else tembeza kiatu. Wasee hukuja na LPO ama LSO mimi hufukusa hao kama stray rabid guoks if I can’t see the accompanying cheque or bank transfer. Hio biashara wapeleke kwingine siitaki. The best I can do for you ni cash on delivery na hata hio lazima kuna vile unafaa kuwa na reputation na mimi. Kidogo kidogo but at least msee uko sure imeingia sii kusumbuana na watu juu ya mali yako.