Cotedivore kuchapwa kama burukenge

Equatorial Guinea inacheza buana.
4_0
https://twitter.com/tekkersfoot/status/1749500504760017239?s=19

2 Likes

Na bado extra time watapigwa zifike 5-0

This is embarrassing for the host

2 Likes

Ni sawia na Kutokbewa Bibi kwa bedroom yako

4 Likes

mbota ni ya uzito though hata kama wameshindwa, mumeiona!

1 Like

Embarrassing for the hosts. 4 ni mingi sana. Congratulations to tiny Equatorial Guinea