Corrupt Security Guard vs Female Njugu seller [As received]

Man on the left is Erick, works for Beemark Security Ltd guarding Pioneer Hse, Kenyatta Ave. The lady on the right is Lisa-0725864402, roasts and delivers peanuts in CBD. At Pioneer,Erick always demands a packet,today she refused, Erick confiscated her wares.Corruption everywhere
~Courtesy mtetezi Boniface Mwangi
[ATTACH=full]202230[/ATTACH]

Poor watchman, sasa juu ya njaa ya njugu kazi imeenda tuu hivo. These smart phones with hidden camera apps will be the end of people. Look at the watchie, hata hajui anachukuliwa picha… Hatapigiwa simu na mhindi kesho morning and told wewe jinga Erick…kazi iko kwisha…bona nachomea kapuni picha ghasia

Today the watchman exercised the only authority he have

tuseme @Lichoti kazi imechomwa na njugu :smiley:

mhindi amefuta lichoti

siku ya 40 ilifika

I will always maintain Kenyan watchmen are the scum of the earth. Ghasia wao wote, majamaa huangalia tu watu na macho zingine madharau sana. Utadhani wanalinda Treasury house na ni Naivas tu. Kuna moja Karibu nimpee upper cut hapo trm. Meffi wao hope Lisa gets justice.

Watchmen uchunga entrance ya buildings uona ni kama they own those buildings

@lichoti = @uwesmake

I

Yes sir, Boniventure Sikwekwe Lichoti

:eek::D:D:D:D Hapa ni sj bro after night shift

SJ hakuna cctv kwa mlango…

sio SJ banae

I have passed by the entrance na ukuta ni nyekundu kama hio, acha nitapitia hapo tena kesho nikienda imax

:smiley:

Anyway ata io job ikienda mse ananjotika kila siku at least haezi achishwa ile kazi main.

[ATTACH=full]202239[/ATTACH]

Hao wasee walikufanyianga nini lakini?

Njuku inafanyeko mtu apoteseko kasi?

Atapigiwa ama hatapigiwa? Because I need to know whether to start applying for that job.

*has

Top right: ‘CCTV in action’. Lakini zuzu inadhani haimuliki askari keya?

Sasa jinga akifikeko nyumbani ataambia pipi ako leave.