Corona in kawangware

Watu wameamua wakuje na vipimo za nzaa pia,kama government ingekuwa serious kupima hao slum dwellers ingewapatia incentive ya ukipimwa unapatiwa ngiri

Yep. I remember I told one of the chief ukitaka watu wapimwe tell them whoever gets tested anapewa gorogoro ya mahindi uone jinsi mpaka paka na mbwa itatokea

Unasema nini sasa??

mtu ako 61yrs na hana akili ni laana…
kuwa na busara old fool

Babu tafadhali pewa kiti uketi magoti nafahamu hayana oil

Exodus 20:12

Mzee laani hawa wazee

Nimesukumia kakitu.wacha afikirie deep sana leo

Kawangware market closed

Wagarden, dago kwa nyama kuna operate?

Sisi tuko ngangari tunaheshimu sheria

@Motokubwa slum landlord huko watu wasipo lipa rent na unakaa ndeiya huwezi enda kuwa vuruga walipe nyumba. You know ukiendea hio pesa utapewa ugonjwa upelekee familia.
Hapo unakuwa mjanja Una waambia Una wapea discount pay full rent this month. Next month Una subsidize 30%. On condition last month ulilipa yote.

Mchawi mteso laana yako Ni useless

Kwa nini watu wanapimwa by force?

One of the patients confirmed to have contracted the coronavirus in Kawangware area was a staff member at the Ministry of Health.
This has been revealed by Health Director General Dr Patrick Amoth, who said the individual worked at the Emergency Operation Centre.

https://nairobinews.nation.co.ke/news/how-one-ministry-of-health-official-transmitted-covid-19-to-11-people

I like your resilience mzee,zile sweep tunakukulisha hapa na bado huwa unamka unajipanguza,throw a few feeble words of threats then move on.Pewa ile ngarangoo ya busaa on my bill